Matumizi ya sarufi questions | form five Kiswahili
Find Matumizi ya sarufi examination questions, form five Kiswahili in acaproso.com
# | Question |
---|---|
1 | (a) Eleza maana ya viambishi vya O-rejeshi . Short answers |
2 | Kwa kutumia mifano bainisha kazi mbili za mnyumbuliko na kazi tatu za uambishaji katika lugha Short answers |
3 | Bainisha matumizi ya “ki” iliyopigiwa mstari katika sentensi zifuatazo: (viii) Kitoto hiki sikiwezi Short answers |
4 | Katika kila tungo zifuatazo taja kielezi na fafanua aina ya kielezi hicho. Short answers |
5 | Fafanua dhana zifuatazo kwa kutumia mifano: Short answers |