Warning: Undefined array key 1 in /home/acaproso/public_html/._System/._Template/.Main.php on line 116
Maendeleo ya kiswahili questions

Maendeleo ya kiswahili questions | form five Kiswahili

Find Maendeleo ya kiswahili examination questions, form five Kiswahili in acaproso.com

# Question
1

Waingereza na Waarabu walidumaza maendeleo ya Kiswahili wakati wa ukoloni nchini
Tanzania. Thibitisha dai hilo kwa kutumia hoja nne kwa Waingereza na hoja nne kwa Waarabu.


Short answers
2

Eleza kazi za BAKITA na UKUTA katika kukuza na kueneza Kiswahili. Toa hoja tatu za
BAKITA na hoja tatu za UKUTA.


Short answers
3

Baada ya uhuru hadi leo, Tanzania imefanya juhudi mbalimbali zilizosaidia kuendeleza lugha ya
Kiswahili nchini kupitia mfumo wa elimu. Fafanua dai hilo kwa kutumia hoja tano.


Short answers
4

“Ili lahaja yoyote iweze kusanifishwa ni lazima ikidhi masharti ya kitaalamu.” Elezea masharti
matano ili kuthibitisha dai hilo.


Insha