Warning: Undefined array key 1 in /home/acaproso/public_html/._System/._Template/.Main.php on line 116
Tafsiri na ukalimani questions

Tafsiri na ukalimani questions | form five Kiswahili

Find Tafsiri na ukalimani examination questions, form five Kiswahili in acaproso.com

# Question
1

“Kazi ya kutafsiri ina taratibu mahususi.” Fafanua dai hili kwa kueleza mambo muhimu sita ya
kuzingatia wakati wa kufanya tafsiri.


Insha
2

Nini maana ya tafsiri? Elezea dhima nne za tafsiri.


Insha