Uandishi wa insha na matangazo questions | form three Kiswahili
Find Uandishi wa insha na matangazo examination questions, form three Kiswahili in acaproso.com
# | Question |
---|---|
1 | Andika insha isiyo ya kisanaa yenye maneno mia mbili na hamsini (250) kuhusu mandhari ya shule yenu. Short answers |
2 | Andika tangazo kwenye gazeti la Rai ukitoa taarifa kuhusu kupotea kwa mwanao aitwaye Raha Karaha, jina lako liwe Furaha Machupa. Short answers |
3 | Jifanye wewe ni Gudhah Mukish anayeishi mtaa wa Tandamti Gerezani Kariakoo na unataka kuuza gari yako aina ya TOTYOTA CARINA. Andika tangazo kwenye gazeti la Mwananchi. Short answers |