Warning: Undefined array key 1 in /home/acaproso/public_html/._System/._Template/.Main.php on line 116
Uandishi wa insha questions

Uandishi wa insha questions | form one Kiswahili

Find Uandishi wa insha examination questions, form one Kiswahili in acaproso.com

# Question
1

Andika insha yenye maneno yasiopungua mia mbili (200) na yasiozidi mia tatu (300) kuhusu methali isemayo “Samaki Mkunje angali mbichi”.


Short answers
2

Andika insha yenye maneno yasiyopungua mia mbili na hamsini (250) na yasiyozidi mia tatu (300) kuhusu umuhimu wa huduma za simu ya mkononi.


Short answers
3

Andika insha isiyo ya kisanaa yenye maneno mia mbili na hamsini (250) kuhusu mandhari ya shule yenu.


Short answers
4

Andika insha yenye maneno 250 kuhusu moja ya mada zifuatzo:
(a) Aisifuye mvua imemnyeshea.
(b) Elimu ya msingi ina umuhimu wake katika jamii.
(c) Maradhi yanavyorudisha nyuma maendeleo ya familia hatimaye Taifa.
(d) Kuelimika kwa msichana ni kuelimika kwa jamii.
(e) Wanyama pori.


Short answers