Warning: Undefined array key 1 in /home/acaproso/public_html/._System/._Template/.Main.php on line 116
Utumizi wa lugha questions

Utumizi wa lugha questions | form five Kiswahili

Find Utumizi wa lugha examination questions, form five Kiswahili in acaproso.com

# Question
1

Mtumiaji wa lugha ya Kiswahili ambaye ni mahiri wa lugha zingine, umahiri wake hukabiliwa na
changamoto mbalimbali. Kwa kutumia hoja nne na mifano, fafanua changamoto hizo.


Short answers
2

“Kitenzi kikuu ni neno linalobebeshwa majukumu mengi katika tungo za Kiswahili.” Kwa
kutumia mifano, toa hoja tano kuthibitisha kauli hiyo.


Short answers
3

“Matumizi ya rejesta huneemesha lugha ya Kiswahili.” Tumia hoja tano zenye mifano ili
kufafanua hoja hiyo.


Short answers