Warning: Undefined array key 1 in /home/acaproso/public_html/._System/._Template/.Main.php on line 116
Utungaji questions

Utungaji questions | form five Kiswahili

Find Utungaji examination questions, form five Kiswahili in acaproso.com

# Question
1

(a) Taja na kueleza mambo muhimu saba ya kuzingatia katika kuandika kadi ya mwaliko.
(b) Jifanye wewe ni mzazi wa mwanafunzi Sikujua Kizito anayehitimu Kidato cha Sita mwaka 2017. Andika kadi ya mwaliko kuwaalika ndugu, jamaa na marafiki katika sherehe ya kumpongeza mtoto wako itakayofanyika tarehe 7/6/2017. Jina lako liwe Sikutegemea Kizito .


Short answers
2

Jifanye wewe ni meneja wa kiwanda cha kutengeneza mazulia S.L.P 2011 Tanga, andika barua ya
kumjibu kijana aitwaye Cheche Kirembwe ukimjulisha kuwa amepata nafasi ya kazi ya Afisa
Biashara aliyoomba kiwandani hapo. Anwani yake ni S.L.P 2012 Tanga. Tumia namba ya
kumbukumbu KCM/TANG/14/1. Jina lako liwe Pata Mafanikio.


Short answers