Primary and secondary education past papers.

STANDARD 7-MATHEMATICS-2018-NATIONAL EXAM-TANZANIA

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA

MTIHANI WA KUMALIZA ELIMU YA MSINGI

04                  HISABATI

Muda : Saa 2:00      Jumatano, 05 Septemba 2018 asubuhi

Maelekezo

  1. Karatasi hii ina sehemu A na B zenye jumla ya maswali arobaini na tano (45).
  2. Jibu maswali yote katika kila sehemu.
  3. Soma maelekezo yote yaliyoko katika fomu maalum ya kujibia (OMR).
  4. Jaza taarifa zote zinazohitajika katika fomu ya OMr na katika kurasa zenye swali la 41- 45 kwenye karatasi ya maswali.
  5. Weka kivuli katika kila tarakimu ya namba yako ya mtihani kwenye nafasi husika katika fomu ya OMR.
  6. Kokotoa na kisha Weka kivuli kwenye herufi ya jibu sahihi kwa swali la 1 -40 kwa mfano, kama jibu sahihi ni A weka kivuli kama ifuatavyo :

OMR

  1. Ukigundua kuwa herufi uliyoweka kivuli si jibu sahihi, futa kivuli hicho kwa umakini kwa kutumia kifutio safi kabla ya kuweka kivuli katika herufi mpya.
  2. Tumia penseli ya HB kwa swali la 1 hadi la 40; na kalamu ya wino wa bluu au mweusi kwa swali la 41 hadi la 45.
  3. Onesha wazi njia iliyotumika katika kujibu swali la 41 hadi la 45.
  4. Simu za mkononi , vikokotozi na vitu vyote visivyoruhusiwa havitakiwi ndani ya chumba cha mthihani.


SEHEMU A : MATENDO YA KIHISABATI, MAUMBO NA MAFUMBO

Katika swali la 1- 10, kokotoa swali ulilopewa na kisha  weka kivuli kwenye herufi ya jibu lililo sahihi katika fomu yako ya kujibia.

  1. 1,236÷4=
  1. 39
  2. 309
  3. 63
  4. 306
  5. 49

  1. Andika egin{pmatrix} frac{7}{12}+frac{2}{12} end{pmatrix} katika sehemu rahisi.
  1. small frac{3}{4}
  2. small frac{9}{12}
  3. small frac{9}{24}
  4. small frac{3}{8}
  5. small frac{2}{12}

  1. 269+1,731=
  1. 1,800
  2. 1,900
  3. 1,990
  4. 1,999
  5. 2,000

  1. 4frac{4}{5}+1frac{1}{5}=
  1. 2
  2. 3
  3. 4
  4. 5
  5. 6

  1. 1,509-728=
  1. 581
  2. 681
  3. 771
  4. 781
  5. 881

  1. 7frac{3}{5}-2frac{1}{2}=
  1. 3
  2. 3frac{2}{5}
  3. 3frac{1}{10}
  4. 4frac{1}{10}
  5. 5frac{1}{10}

  1. 78x952=
  1. 74,256
  2. 70,756
  3. 74,246
  4. 74,156
  5. 73,856

  1. Ikiwa p=5 na Q=4, tafuta thamani ya (p^{2})	imes(Q^{2})
  1. 54
  2. 108
  3. 400
  4. 200
  5. 800

News & Updates | Recently
Recent Updates
questions

2024-10-07: questions

Questions Uploaded on 2024-10-07


questions

2024-05-02: questions

Questions Uploaded on 2024-05-02


questions

2024-03-29: questions

Questions Uploaded on 2024-03-29