Uandishi wa barua questions | form one Kiswahili

(2045) Question Category: Short answers

Wewe kama afisa ununuzi, andika barua kwa mfanyabiashara mashuhuri wilayani kwenu kuhusu agizo la bidhaa.

Answer / Solution

UNSOLVED

(2046) Question Category: Short answers

Muundo wa uandishi wa barua za kirafiki na barua za kikazi ni tofauti. Thibitisha kauli hiyo.

Answer / Solution

UNSOLVED

(2047) Question Category: Short answers

Manyanda akiwa mfanyakazi wa kiwanda cha korosho Tanita alipewa taarifa kuhusu ugonjwa wa baba yake. Wewe kama Manyanda andika barua ya kuomba ruhusa. Anuani ya kiwanda ni S.L.P. 1030, Kibaha.

Answer / Solution

UNSOLVED

(2651) Question Category: Short answers

Muundo wa uandishi wa barua za kirafiki na barua za kikazi ni tofauti. Thibitisha kauli hiyo.

Answer / Solution

UNSOLVED

(2652) Question Category: Short answers

Jifanye kuwa umepata barua ya mwaliko wa sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa rafiki yako aitwaye Faraja Matata, itakayofanyika siku ya tarehe 10/10/2012. Kwa bahati mbaya siku tatu kabla ya sherehe umepata safari ya kikazi kuelekea mkoani Singida. Andika barua kumtaarifu rafiki yako kuwa hutaweza kuhudhuria sherehe hiyo. Jina lako liwe Tumaini Baraka

Answer / Solution

UNSOLVED


View All Topics
News & Updates | Recently
Recent Updates
questions

2024-05-02: questions

Questions Uploaded on 2024-05-02


questions

2024-03-29: questions

Questions Uploaded on 2024-03-29


questions

2024-03-19: questions

Questions Uploaded on 2024-03-19

Dismissible in 10 seconds