Uhakiki wa kazi za fasihi andishi questions | form three Kiswahili
(2610) Question Category: Long answers Kwa kutumia tamthiliya m bili (2) kati ya hizo zilizoorodheshwa, jadili jinsi kazi za wasanii hao zilivyochangia katika ujenzi wa jamii. Tamthiliya Answer / Solution UNSOLVED |
(2611) Question Category: Long answers “Matendo yasiyo na utu hujadiliwa na wasanii”. Thibitisha kauli hii kwa kutumia riwaya mbili (2) kati ya hizo zilizoorodheshwa. Riwaya Answer / Solution UNSOLVED |
|
(2612) Question Category: Long answers “Mwandishi wa fasihi ni mchunguzi wa jamii ambaye huyaweka wazi maovu mbalimbali”. Jadili Ushairi Answer / Solution UNSOLVED |
(2613) Question Category: Long answers “Mshairi ni mhakiki wa jamii”. Kwa kutumia vitabu teule v iwili (2) vya ushairi ulivyosoma, jadili kauli hii. Ushairi Answer / Solution UNSOLVED |
|
(2614) Question Category: Long answers “Jina la kitabu ni kivutio cha wasomaji wa riwaya”. Kwa kutumia riwaya teule m bili (2) ulizosoma linganisha majina ya vitabu jinsi yanavyosadifu yaliyomo. Riwaya Answer / Solution UNSOLVED |
View All Topics |
News & Updates | Recently
Recent Updates |
---|
2024-05-02: questionsQuestions Uploaded on 2024-05-02 |
2024-03-29: questionsQuestions Uploaded on 2024-03-29 |
2024-03-19: questionsQuestions Uploaded on 2024-03-19 |