Uhakiki wa kazi za fasihi andishi questions | form three Kiswahili

(2625) Question Category: Long answers

“Washairi ni wataalamu wazuri na waliobobea katika kutumia taswira zinazotoa ujumbe kwa jamii.” Tumia taswira tatu kwa kila diwani kati ya diwani mbili zilizoorodheshwa kuthibitisha kauli hiyo.

Ushairi
Wasakatonge M. S. Khatibu (DUP)
Malenga wapya TAKILUKI (DUP)
Mashairi ya Chekacheka T.A Mvungi (EP& D.LTD)

Answer / Solution

UNSOLVED

(2626) Question Category: Long answers

Tumia vitabu viwili vya riwaya kati ya vilivyoorodheshwa, kutoa hoja tatu kwa kila kitabu,
zinazothibitisha dai kuwa mwanaume ni kikwazo cha mafanikio katika jamii.

Riwaya
Takadini Ben Hanson (MBS)
Watoto wa Maman’tilie E.Mbogo (H.P)
Joka la Mdimu A.J. Safari (H.P)

Answer / Solution

UNSOLVED

(2627) Question Category: Long answers

Tumia vitabu viwili vya tamthiliya kati ya vilivyoorodheshwa, kujadili madhara ya ukosefu wa
elimu katika jamii. Toa hoja tatu kwa kila tamthiliya.

Tamthiliya
Orodha Steve Raynolds (MA)
Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe E.Semzaba (ESC)
Kilio Chetu Medical Aid Foundation (TPH)

Answer / Solution

UNSOLVED

(2628) Question Category: Long answers

“Mshairi siku zote hukemea uonevu katika jamii.” Thibitisha kauli hii kwa kutoa hoja tatu kutoka katika kila diwani kati ya diwani mbili ulizosoma.

Ushairi
Wasakatonge M.S. Khatibu (DUP)
Malenga wapya TAKILUKI (DUP)
Mashairi ya Chekacheka T. A Mvungi (EP& D.LTD)

Answer / Solution

UNSOLVED

(2629) Question Category: Long answers

“Fasihi ni chuo cha kufundisha maisha kwa jamii husika. “Jadili ukweli wa kauli hii kwa kutoa hoja tatu kwa kila riwaya kati ya riwaya mbili ulizosoma.

Riwaya
Takadini Ben Hanson (MBS)
Watoto wa mama N’tilie E.Mbogo (H.P)
Joka la Mdimu A.J. Safari (H.P.)

Answer / Solution

UNSOLVED


View All Topics
News & Updates | Recently
Recent Updates
questions

2024-05-02: questions

Questions Uploaded on 2024-05-02


questions

2024-03-29: questions

Questions Uploaded on 2024-03-29


questions

2024-03-19: questions

Questions Uploaded on 2024-03-19

Dismissible in 10 seconds