Uhakiki wa kazi za fasihi andishi questions | form three Kiswahili

(2630) Question Category: Long answers

Chagua wahusika watatu wa kike, kutoka katika kila tamthiliya kati ya tamthiliya mbili ulizosoma, kisha onesha kukubalika kwao kama kielelezo cha maisha katika jamii.

Tamthiliya
Orodha Steve Reynolds (MA)
Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe E.Semzaba (ESC)
Kilio Chetu Medical Aid Foundation (TPH)

Answer / Solution

UNSOLVED

(2631) Question Category: Long answers

“Ustadi wa msanii hudhihirishwa na fani”. Dhihirisha kauli hiyo kwa kutumia vipengele vitatu vya lugha kwa kila diwani kutoka katika diwani mbili ulizosoma.

Ushairi
Wasakatonge M.S. Khatibu (DUP)
Malenga Wapya TAKILUKI (DUP)
Mashairi ya Chekacheka T. A. Mvungi (EP & D.LTD)

 

Answer / Solution

UNSOLVED

(2632) Question Category: Long answers

Jadili kukubalika kwa wahusika wawili kama kielelezo halisi cha wanajamii kati ya Takadini,
Maman’tilie na Brown Kwacha kutoka katika riwaya mbili ulizosoma. Toa hoja tatu kwa kila
mhusika.

Riwaya
Takadini Ben J. Hanson (MBS)
Watoto wa Maman’tilie E. Mbogo (H.P)
Joka la Mdimu A. J.Safari (H.P.)

Answer / Solution

UNSOLVED

(2633) Question Category: Long answers

“Kujenga jamii bora ni dhima ya mwandishi.” Thibitisha kauli hii kwa kutumia hoja tatu toka katika kila tamhtiliya kati ya tamthiliya mbili ulizosoma.

Tamthiliya
Orodha Steve Reynolds (MA)
Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe E.Semzaba (ESC)
Kilio Chetu Medical Aid Foundation (TPH)

Answer / Solution

UNSOLVED

(2634) Question Category: Long answers

"Kazi za fasihi hufichua mivutano iliyopo katika jamii." Kwa kutumia hoja tatu kwa kila diwani
fafanua mivutano hiyo kutoka katika diwani mbili ulizosoma.

Ushairi
Wasakatonge M. S. Khatibu (DUP)
Malenga Wapya TAKILUKI (DUP)
Mashairi ya Chekacheka T. A. Mvungi (EP & D.LTD)

Answer / Solution

UNSOLVED


View All Topics
News & Updates | Recently
Recent Updates
questions

2024-05-02: questions

Questions Uploaded on 2024-05-02


questions

2024-03-29: questions

Questions Uploaded on 2024-03-29


questions

2024-03-19: questions

Questions Uploaded on 2024-03-19

Dismissible in 10 seconds