Uhakiki wa kazi za fasihi andishi questions | form three Kiswahili

(2635) Question Category: Long answers

"Mandhari iketeuliwa vizuri humsaidia mwandishi katika kufikisha yale aliyokusudia kwa jamii yake" Thibitisha hoja hiyo kwa kutoa mifano mitatu toka katika kila kitabu kati ya riwaya mbili zilizoorodheshwa.

Riwaya
Takadini Ben J. Hanson (MBS)
Watoto wa Maman’tilie E.Mbogo (H.P)
Joka la Mdimu A.J. Safari (H.P.)

Answer / Solution

UNSOLVED

(2636) Question Category: Long answers

Kwa kutumia tamthiliya mbili miongoni mwa zilizoorodheshwa eleza jinsi waandishi walivyoonesha athari za utamaduni wa kigeni katika maadili ya jamii ya kiafrika.

Tamthiliya
Orodha Steve Reynolds (MA)
Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe E.Semzaba (ESC)
Kilio Chetu Medical Aid Founda

Answer / Solution

UNSOLVED

(2637) Question Category: Long answers

“Mtunzi wa mashairi huibua malalamiko ya kundi la wasionacho.” Fafanua kauli hiyo kwa kutumia hoja tatu kutoka katika kila diwani kati ya diwani mbili ulizosoma.

Ushairi
Wasakatonge M. S. Khatibu (DUP)
Malenga Wapya TAKILUKI (DUP)
Mashairi ya Chekacheka T.A Mvungi (EP& D.LTD)

Answer / Solution

UNSOLVED

(2638) Question Category: Long answers

“Mapenzi ya dhati huleta faraja miongoni mwa wanajamii.” Tumia hoja tatu kutoka katika kila
riwaya kati ya riwaya mbili ulizosoma kuonesha jinsi wahusika wake walivyofarijika na mapenzi ya dhati.

Riwaya
Takadini Ben Hanson (MBS)
Watoto wa Maman’tilie E.Mbogo (H.P)
Joka la Mdimu A.J. Safari (H.P.)

Answer / Solution

UNSOLVED

(2639) Question Category: Long answers

Onesha kufaulu kwa dhamira za msanii kwa kutumia hoja tatu kutoka katika kila tamthiliya kati ya tamthiliya mbili ulizosoma.

Tamthiliya
Orodha Steve Reynolds (MA)
Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe E.Semzaba (ESC)
Kilio Chetu Medical Aid Foundation (TPH)

Answer / Solution

UNSOLVED


View All Topics
News & Updates | Recently
Recent Updates
questions

2024-05-02: questions

Questions Uploaded on 2024-05-02


questions

2024-03-29: questions

Questions Uploaded on 2024-03-29


questions

2024-03-19: questions

Questions Uploaded on 2024-03-19

Dismissible in 10 seconds