Uhakiki wa kazi za fasihi andishi questions | form three Kiswahili

(2620) Question Category: Long answers

Jadili jinsi fani ilivyotumika kukamilisha kazi za waandishi wawili (2) wa riwaya ulizosoma,
ukizingatia mtindo na mandhari.

Riwaya
Takadini Ben Hanson (MBS)
Watoto wa Mama N’tilie E.Mbogo (H.P)
Joka la Mdimu A.J. Safari (H.P)

Answer / Solution

UNSOLVED

(2621) Question Category: Long answers

Waandishi wa tamthiliya wamemchora mwanamke katika sura tofauti. Thibitisha kauli hii kwa
kutumia waandishi wawili (2) wa tamthiliya mbili (2) ulizosoma.

Tamthiliya
Orodha Steve Raynolds (MA)
Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe E.Semzaba (ESC)
Kilio Chetu Medical Aid Foundation (TPH)

Answer / Solution

UNSOLVED

(2622) Question Category: Long answers

“Maelekezo yanayotolewa na msanii wa fasihi hukidhi matarajio ya jamii yake.” Kwa kutoa hoja tatu (3) kwa kila mchairi, jadili kauli hii kwa kuwatumia washairi wawili (2) kati ya
walioorodheshwa.

Ushairi
Wasakatonge M.S. Khatibu (DUP)
Malenga wapya TAKILUKI (DUP)
Mashairi ya Chekacheka T.A. Mvungi (EP & D. LTD)

Answer / Solution

UNSOLVED

(2623) Question Category: Long answers

“Nyimbo ni mbinu ya kifani ambayo wasanii wengi huitumia ili kufikisha ujumbe uliokusudiwa kwa hadhira.” Thibitisha usemi huu kwa kutumia waandishi wawili (2) wa riwaya kati ya
waliorodheshwa.

Riwaya
Takadini Ben Hanson (MBS)
Watoto wa Mama N’tilie E.Mbogo (H.P)
Joka la Mdimu A.J. Safari (H.P)

Answer / Solution

UNSOLVED

(2624) Question Category: Long answers

Jadili jinsi wasanii wawili (2) wa tamthiliya mbili (2) ulizosoma walivyotumia mbinu ya kicheko
kutoa ujumbe walioukusudia kwa jamii.

Tamthiliya
Orodha Steve Raynolds (MA)
Ngoswe Penzi Kitovu cha Uzembe E. Semzaba (ESC)
Kilio Chetu Medical Aid Foundation (TPH)

Answer / Solution

UNSOLVED


View All Topics
News & Updates | Recently
Recent Updates
questions

2024-05-02: questions

Questions Uploaded on 2024-05-02


questions

2024-03-29: questions

Questions Uploaded on 2024-03-29


questions

2024-03-19: questions

Questions Uploaded on 2024-03-19

Dismissible in 10 seconds